LIVE UPDATES: SIMBA 1 VS 0 SINGIDA UNITED KUTOKA UWANJA WA TAIFA

LIVE UPDATES: SIMBA 1 VS 0 SINGIDA UNITED KUTOKA UWANJA WA TAIFA

JANUARY 2018 Imetolewa na lazushindi.blogspot.com

 

Dk 13, Simba inapata kona ya kwnaza baada ya kumtoka beki Singida aliyewahi na kuutoa. Inachongwa lakini haina kitu

Dk 12, Gyan yuko chini baada ya kupigwa teke na Makasi
wakati akijaribu kuuwahi mpira Dk 10, Bocco anautokea mpira vizuri mabeki Singida wakidhani ameotea
Dk 8 sasa, Simba wanaonekana kupadhibiti katikati ya uwanja zaidi na kuwapa wakati mgumu viungo wa Singida akiwemo Kutinyu
Dk 5 Simba wanashambulia tena, Manyika anatoka anachelewa Batambuzi anawahi na kuokoa
GOOOOOOOO Dk 3 Kichuya anaruka na kupiga tik tak mbele ya Rushenshagoga na kuandika bao la kwanza kwa Simba
Dk 3, Simba wanapata nje karibu na n alango la Singida
Dk 1, mechi imeanza kwa kasi na Singida wanakuwa wa kwanza kufika katika goli la Simba na mpira uliopigwa na Kambale unakuwa goal kick

 

Share on Google Plus

About NASWIHEART

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni