Tatoo ya Mess Yaibua Maswali Mengi kwa Mashabiki

Tatoo ya Neymar Yaibua Maswali Mengi kwa Mashabiki

Wakati Real Madrid kesho inaivaa PSG katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mshambuliaji wake nyota, Neymar ameongeza tatuu nyingine.

Wakati Neymar anarejea Hispania kwa ajili ya mechi hiyo, ameamua kuongeza tatuu ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Neymar ameongeza mchoro huo mguuni akionyesha ameipania mechi hiyo na ana imani wataivuka Madrid na kusonga mbele.

Mshambulizi huyo alijiunga na PSG akitokea FC Barcelona kwa dau la pauni milioni 198 na kuweka rekodi mpya ya usajili.


Share on Google Plus

About NASWIHEART

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Chapisha Maoni